Maduro kufikishwa mahakamani Marekani leo

Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, anatarajiwa kufikishwa mahakamani nchini Marekani leo baada ya kukamatwa mwishoni mwa wiki na vikosi vya Marekani, huku Rais wa Marekani, Donald Trump, akiweka wazi uwezekano wa uvamizi mwingine iwapo Marekani haitapata inachokitaka kutoka kwa kiongozi wa mpito wa nchi hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari jana Jumapili, Trump alisema anaweza…

Read More

Beki Mkongomani anukia Dodoma Jiji

UONGOZI wa Dodoma Jiji umeanza maboresho ya kikosi hicho katika dirisha hili dogo lililofunguliwa rasmi Januari Mosi, ambapo kwa sasa unakaribia kuipata saini ya beki wa kati raia wa DR Congo, Herve Beya Beya, ili kwenda kuongezea nguvu. Beki huyo aliyezaliwa Machi 31, 1999, kwa sasa anaichezea timu ya OC Bukavu Dawa ya DR Congo…

Read More

Abalkassim aibukia Mbeya City | Mwanaspoti

BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi minne, aliyekuwa mshambuliaji nyota wa Pamba Jiji, Abalkassim Suleiman, amekamilisha usajili wa kujiunga na Mbeya City ya jijini Mbeya, kwa dili la hadi mwisho wa msimu. Nyota huyo amekamilisha usajili huo akiwa mchezaji huru baada ya kuachana na Pamba Jiji katika dirisha kubwa la usajili akitokea…

Read More

Azam FC yaanza na Haaland, Pogba

AZAM FC inaendelea kujiimarisha katika maeneo mbalimbali ya kikosi hichona sasa imevamia Mlandege ya Zanzibar na kubeba mastaa wawili wa timu hiyo, akiwamo Aimar Hafidh Abubakar ‘Haaland’ na Suleiman Juma Kidawa ‘Pogba’ ambapo kocha Florent Ibenge aliwaambia mabosi wa klabu hiyo; ‘nileteeni hao fasta’. Taarifa za usajili wa nyota hao zimevujishwa na rafiki yao wa…

Read More

Tchakei, Damaro wauwasha moto Yanga

JIONI ya jana Yanga ilishuka uwanjani kutupa karata ya kwanza katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex ikivaana KVZ, lakini mapema mastaa wapya watatu waliotua katika dirisha dogo la usajili wameanza na moto na kuleta tumaini jipya kambini mwa timu hiyo. Yanga imeshawatambulisha wachezaji wawili kati ya watatu wapya…

Read More

Mpanzu, Sowah freshi Simba, Ahoua Mmh!

KULE Simba winga Ellie Mpanzu amejisalimisha fasta ndani ya muda ambao ulitolewa lakini Jonathan Sowah akichelewa kwa siku moja huku Jean Charles Ahoua akizua utata. Kocha Barker alitoa siku tatu kwa wachezaji wake ambao walikuwa kwenye mapumziko nje ya wale waliokuwa kwenye ushiriki wa Fainali za Mataifa Afrika kuwahi kambini. Kuanzia tangazo hilo lilipotoka Mpanzu…

Read More