2026
Simba yaifuata Azam nusu fainali Mapinduzi Cup
NI rasmi sasa Mzizima Derby inapigwa kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi kati ya Azam dhidi ya Simba. Hiyo ni baada ya timu hizo kila moja kuongoza kundi katika Kombe la Mapinduzi 2026 inayoendelea kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja. Azam ilitangulia mapema leo Januari 5, 2026 jioni ilipoifunga URA na kuongoza kundi A,…
WAZIRI WA FEDHA AIPONGEZA TRA KWA UTENDAJI MZURI WA MAKUSANYO YA MAPATO
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza jambo wakati akifungua Mkutano wa Kutathmini Utendaji Kazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa Nusu Mwaka wa Fedha 2025/26 (Mid-Year Performance Review Meeting), uliyofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), jijini Arusha, ambapo alitumia fursa hiyo kuipongeza Mamlaka hiyo kwa kuendelea kufanya…
WAZIRI KAPINGA ATOA ONYO: MAKOSA YA UJENZI WA JENGO LA TBS MWANZA YAREKEBISHWE MARA MOJA.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Judith Kapinga(Mb) ameagiza kurekebishwa mara moja kwa makosa yaliyofanyika katika ujenzi wa jengo la kanda la Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Jijini Mwanza, ambayo yamesababisha mradi huo kuchelewa kukamilika kwa wakati uliopangwa. Waziri Kapinga ametoa agizo hilo Januari 5, 2026 wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa…
NAIBU WAZIRI MAHUNDI ASISITIZA UWAJIBIKAJI MIRADI VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII.
………… 📌 Aagiza Bweni la Wasichana Chuo cha Maendeleo ya Jamii Uyole likamilishwe kwa wakati. Na mwandishi wetu Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi, amemtaka mkandarasi anayesimamia ujenzi wa bweni la wasichana katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Uyole, Jijini Mbeya, kuhakikisha anakamilisha mradi huo kwa…
WAZIRI MCHENGERWA ATOA MIAKA MITATU OCEAN ROAD, WAGONJWA WA SARATANI KUTIBIWA NCHINI
Na WAF, Dar es Salaam Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, ameipa Bodi ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) muda wa miaka mitatu kuhakikisha hakuna Mtanzania anayekwenda nje ya nchi kutibiwa saratani. Mhe. Mchengerwa ametoa kaulihiyo leo Januari 5, 2026 wakati wa uzinduzi wa Bodi ya ORCI, uzimduzi uliofanyika jijini Dar es Salaam…
Tofauti ya mishahara kwa madaktari yamuibua Waziri Mchengerwa, atoa maelekezo
Dar es Salaam. Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amewaelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), kuanza mapitio ya mishahara na maslahi ya watumishi wa sekta ya afya, akisema haiwezekani kuwepo kwa tofauti kubwa ya mishahara baina ya watumishi wenye elimu inayofanana. Mchengerwa…
Delcy Rodriguez: Mwanamke aliyetwaa madaraka katikati ya dhoruba ya kimataifa
Katikati ya usiku mzito wa Januari 3, 2026, Venezuela iliingia katika ukurasa mpya wa historia yake, ukurasa ulioandikwa si kwa kura, bali kwa helikopta, makombora na operesheni ya kijeshi ya kimataifa. Nicolas Maduro, rais aliyeshikilia madaraka kwa mkono wa chuma alitekwa na kukamatwa na Marekani katika operesheni ya ghafla jijini Caracas. Ndani ya saa chache,…
Januari hii ni zaidi ya ada, hadi vyakula havishikiki
Dar/mikoani. Ukiacha mzigo wa malipo ya ada za wanafunzi na gharama nyingine za maisha kila inapoanza Januari, mwaka huu hali imekuwa mbaya zaidi, kwani makali yamegusa hadi kwenye bei za vyakula. Si unga wa mahindi wala mchele pekee, dagaa na viazi mviringo, vyote vimepanda bei ndani ya Januari, hasa katika mikoa ya Dar es Salaam,…
Tanzania yatabiriwa medali ya dhahabu mbio za Nyika
SAFARI ya wanariadha wa kikosi cha timu ya taifa ya riadha ya Tanzania kushiriki mbio za dunia za Nyika imeiva baada ya kuagwa leo Januari 5, 2026 huku ikitabiriwa kurudi na medali ya dhahabu. Mashindano hayo yatafanyika Januari 10, 2026, Florida nchini Marekani, ambapo Tanzania itawakilishwa na wanariadha tisa ambao wanatarajiwa kuondoka kesho Jumanne wakiongozwa…