Korti yatupilia mbali pingamizi shauri la uchaguzi Tunduru Kusini
Arusha. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Songea imetupilia mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Tunduru Kusini na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), katika shauri la uchaguzi linalohusu matokeo ya ubunge. Katika shauri hilo la uchaguzi namba 29982/2025, linalohusu matokeo ya uchaguzi wa ubunge wa Tunduru Kusini, limefunguliwa na Mohamed…