Mlandege yaivaa Azam bila kupiga tizi
JANA Ijumaa, ilipigwa mechi moja ya Kombe la Mapinduzi 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja mabingwa watetezi Mlandege dhidi ya Azam, lakini kuna kitu kilitokea kabla ya mechi hiyo iliyoanza saa 2:15 usiku. Mlandege iliyopoteza mechi mbili za kwanza ilifungwa 3-1 na Singida Black Stars kisha ikalamba 1-0 na URA, imekuwa ya kwanza…