Makamu wa Rais Nchimbi Amtembelea Rais Mstaafu Amani Karume Zanzibar
Makamu wa Rais Nchimbi Amtembelea Rais Mstaafu Amani Karume Zanzibar – Global Publishers Home Habari Makamu wa Rais Nchimbi Amtembelea Rais Mstaafu Amani Karume Zanzibar
Makamu wa Rais Nchimbi Amtembelea Rais Mstaafu Amani Karume Zanzibar – Global Publishers Home Habari Makamu wa Rais Nchimbi Amtembelea Rais Mstaafu Amani Karume Zanzibar
Rais Samia Aizawadia Taifa Stars Milioni 500 Baada ya Kufuzu 16 Bora AFCON – Global Publishers Home Habari Rais Samia Aizawadia Taifa Stars Milioni 500 Baada ya Kufuzu 16 Bora AFCON
Geita. Wakati wananchi wakiendelea kusherehekea sikukuu ya Mwaka Mpya, moto unaodhaniwa kusababishwa na hitilafu ya umeme umetekeza sehemu ya eneo maarufu la starehe la Suzy Bar and Lounge katika mji mdogo wa Katoro, mkoani Geita. Moto huo ulizuka majira ya saa 6:15 mchana, Ijumaa Januari 2, 2026, wakati shughuli zikiendelea katika eneo hilo. Mashuhuda wamesema…
Tanga. Wananchi wa vijiji vitano Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, wanatarajiwa kuondoka katika makazi yao kupisha utekelezaji wa mradi mkubwa wa uchimbaji wa madini ya Tembo (heavy minerals), baada ya kukamilika kwa utaratibu wa ulipaji wa fidia. Vijiji vinavyohusika katika mradi huo ni Stahabu, Bweni, Mzambarauni, Mikinguni na Mwera, ambapo maeneo hayo yamegundulika kuwa na…
Moshi. Jeshi la Polisi limemwachia kwa dhamana Thadey Kweka, ambaye ni raia wa Marekani mwenye asili ya Tanzania. Raia huyo alikuwa akishikiliwa tangu Desemba 28, 2025 katika Kituo Kikuu cha Polisi Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo uchochezi. Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kuachiwa kwake leo Januari 3, 2026. “Ni…
BAADA ya kurejea uwanjani akiwa fiti akitoka kuwa majeruhi, kiungo wa KMC, Ahmed Bakari ‘Pipino’ amesema huu ni muda mwafaka wa kuunganisha nguvu na wenzake kuipambania timu hiyo kuondoka mkiani. KMC inaburuza mkia katika msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa inamiliki pointi nne kupitia mechi tisa, ikifunga mabao mawili, kushinda mechi moja na kupoteza saba…
LEO usiku kikosi cha Simba kitakuwa Uwanja wa New Amaan Complex hapa Unguja kucheza mechi ya kwanza ya Mapinduzi Cup 2026 dhidi ya Muembe Makumbi City, lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Steve Barker, amekuwa na jambo lake kimkakati ambalo ndani ya wiki tatu anataka kila kitu kiwe fresh. Barker ambaye alitambulishwa kuwa kocha mkuu…
Dar es Salaam. Nderemo na machozi ya furaha vilitawala jijini Dodoma, wakati wa mapokezi ya Juma Maganga, dereva Mtanzania aliyekuwa amefungwa nchini Sudan Kusini. Maganga alikuwa kizuizini tangu Februari 14, 2025 baada ya gari alilokuwa anaendesha kumgonga na kusababisha kifo cha mwanajeshi. Alitakiwa kulipa faini ya ng’ombe 51 (sawa na Sh36 milioni) kwa mujibu wa…
BINGWA mara mbili wa Kombe la Mapinduzi na bingwa wa kihistoria katika Ligi Kuu Bara, Yanga SC, leo Jumapili inatupa karata yake ya kwanza dhidi ya KVZ. Hiyo itakuwa saa 10:15 jioni katika mechi ya kundi C kwenye michuano ya Mapinduzi Cup 2026 inayochezwa Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja. Yanga ikiwa inaanza kutupa…
STAA wa Transit Camp, Adam Uledi amesema licha ya kuongoza katika Ligi ya Championship kwa idadi ya mabao, lakini matokeo waliyonayo hayaendani na mahitaji akizitaja mechi tano tu zitakawapa mwanga maafande hao kupanda Ligi Kuu Bara. Nyota huyo aliyewahi kung’ara akiwa Ken Gold kwa misimu miwili akiwa kinara wa mabao kikosini, ameendelea kuonyesha makali mbele…