Beki Mkongomani anukia Dodoma Jiji
UONGOZI wa Dodoma Jiji umeanza maboresho ya kikosi hicho katika dirisha hili dogo lililofunguliwa rasmi Januari Mosi, ambapo kwa sasa unakaribia kuipata saini ya beki wa kati raia wa DR Congo, Herve Beya Beya, ili kwenda kuongezea nguvu. Beki huyo aliyezaliwa Machi 31, 1999, kwa sasa anaichezea timu ya OC Bukavu Dawa ya DR Congo…