ACT- Wazalendo yatanguliza mguu SUK
Dar es Salaam. Chama cha ACT – Wazalendo kimeshatanguliza mguu mmoja mbele kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), huku majadiliano ya makubaliano yakielekea hatua za mwisho. Hatua hiyo imefikiwa baada ya juhudi mbalimbali zinazoendelea kufanywa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), kushawishi na kuanza kutekeleza baadhi ya masharti yaliyowekwa na chama hicho ili…