Msimamo wa Chadema wawaibua wadau, watoa maoni tofauti

Dar es Salaam. Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikitoa msimamo wake ikiwemo kutaka mwenyekiti wake, Tundu Lissu, kuachiwa huru bila masharti, wachambuzi wa siasa nchini wamesema ni muhimu wanasiasa kukaa meza moja kuzungumza na kutanguliza maslahi ya Taifa mbele. Kauli ya wachambuzi hao inakuja siku moja tangu Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John…

Read More

Waziri Sangu Atembelea Viongozi wa BAKWATA

  Na. Mwandishi wetu – DSM Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Clement Sangu (Mb.) ametembelea Ofisi za Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Makao Makuu Januari 03, 2025 Jijini Dar es Salaam na kukutana na Viongozi kwa lengo la kujitambulisha na kulitambulisha jukumu jipya la Mahusiano…

Read More

Kukamatwa kwa Maduro ni kama walivyokamatwa Noriega, Saddam

Dar es Salaam. Taarifa za kukamatwa kwa kiongozi wa Venezuela, Nicolás Maduro, na kuwekwa chini ya ulinzi wa Marekani zimefufua kumbukumbu za matukio mengine ya kukamatwa viongozi wa Panama, Iraqi na Honduras. Viongozi walioangushwa madarakani na kutiwa mbaroni ni Manuel Noriega wa Panama na Saddam Hussein wa Iraq, ingawa mazingira ya kisiasa na kijiografia yanatofautiana….

Read More

Bulaya kugharamia wanafunzi wasio na uwezo

Dar es Salaam. Mbunge wa Bunda Mjini (CCM), Ester Bulaya amezindua programu maalumu ya kuwasaidia watoto ambao wazazi hawana uwezo ili kutimiza ndoto zao kuendelea na elimu ya sekondari. Bulaya amefafanua kuwa watoto hao ni wale ambao wamefaulu kwenda kidato cha kwanza, lakini wazazi wao hawana uwezo kuwagharamia mahitaji muhimu ya shule, ikiwamo sare, begi…

Read More

Beno Kakolanya kazungumzia mechi hizi

MBEYA City inajipima na mechi za kirafiki kujiandaa na Ligi Kuu Bara, huku ikiwa tayari imeshacheza dhidi ya Ken Gold iliyowafunga mabao 2-1 na kushinda dhidi ya Kombaini ya Mbeya kwa bao 1-0. Kipa wa Mbeya City, Beno Kakolanya amesema mechi hizo zimewasaidia kuwaweka fiti na kocha kujua pa kufanya marekebisho. “Ni kipimo kizuri kwetu…

Read More

Kukamatwa kwa Maduro ni kama walivyokanatwa Noriega, Saddam

Dar es Salaam. Taarifa za kukamatwa kwa kiongozi wa Venezuela, Nicolás Maduro, na kuwekwa chini ya ulinzi wa Marekani zimefufua kumbukumbu za matukio mengine ya kukamatwa viongozi wa Panama, Iraqi na Honduras. Viongozi walioangushwa madarakani na kutiwa mbaroni ni Manuel Noriega wa Panama na Saddam Hussein wa Iraq, ingawa mazingira ya kisiasa na kijiografia yanatofautiana….

Read More

Yacouba Songne sasa atua Mbeya City

BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa nusu msimu mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Yacouba Songne amekamilisha dili la kuitumikia Mbeya City. Mshambuliaji huyo aliyepita Ihefu, Tabora United ambayo ameitumikia kwa nusu msimu akijiunga nayo akitokea AS Arta Solar ya Djibouti amerudi tena ligi kuu baada ya kujitibia jeraha lake la goti lililomuweka nje kwa…

Read More

Makusanyo TRA ni zaidi ya matarajio, wachumi wasema…

Dar es Salaam. Baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, mwaka jana uliohusisha vurugu katika baadhi ya maeneo, shughuli za kiuchumi zilisimama au kupungua kwa takribani wiki moja. Biashara nyingi zilifungwa, usafiri ulipungua, na wananchi walijifungia nyumbani wakihofia usalama wao. Kwa wachumi na watunga sera, matarajio yalikuwa wazi, makusanyo ya kodi yangeporomoka, na hivyo kuhatarisha utekelezaji…

Read More

Simba yagoma kumuachia kiungo | Mwanaspoti

WAKATI taarifa zikienea kuhusu kuondoka kwa mmoja kati ya viungo wa Simba mambo yamebadilika ghafla, huku mabosi wakitaka abaki hadi mwishoni mwa msimu huu. Simba imekuwa na wakati mgumu msimu huu ikiwa imeshapoteza michezo miwili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini ikipoteza pia mechi moja ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam baada ya kucheza…

Read More