Mambo Yaanza Kunoga Mlimani City Tuzo za Creators
Mambo Yaanza Kunoga Mlimani City Tuzo za Creators – Global Publishers Home Habari Mambo Yaanza Kunoga Mlimani City Tuzo za Creators
Mambo Yaanza Kunoga Mlimani City Tuzo za Creators – Global Publishers Home Habari Mambo Yaanza Kunoga Mlimani City Tuzo za Creators
Mkuranga. Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza kuondolewa kwa misamaha ya kodi kwa bidhaa zinazoingizwa kutoka nje ya nchi ambazo zinazalishwa nchini kwa kiwango cha kutosha, akisisitiza hatua hiyo ni muhimu kulinda viwanda vya ndani, ajira za Watanzania na ustawi wa uchumi wa Taifa. Maelekezo hayo ameyatoa leo Alhamisi Februari 12, 2026 wilayani…
Dar es Salaam. Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Patrick Assenga, amesema yupo kwenye maandalizi ya mwisho kukihama chama hicho na kurejea Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) kuendeleza mapambano. Amesema sababu ya kufanya hivyo zipo tatu kwanza kimepoteza mvuto, uelekeo na maono waliyofikiria kuyafikia, kutokulaani mambo yanayowakwaza wananchi na kukosoa vyama vingine…
Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema programu za Go Green na Imbeju zinaendana kikamilifu na malengo yaliyowekwa katika Dira ya Taifa 2050. Hiyo ni kutokana na kuweka mkazo katika uchumi jumuishi, shindani na himilivu dhidi ya mabadiliko ya tabianchi huku ikitambua vijana kama msingi wa…
Dar es Salaam. Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), limewaasa waumini wake na jamii kwa jumla kusimamia misingi ya matendo mema kama inavyoagizwa na maandiko matakatifu. Wito huo umetolewa katika ujumbe wa baraza hilo kwa waumini wa Kanisa Katoliki kuelekea mfungo wa Kwaresma unaoanza Jumatano ijayo ya Februari 18, 2026 likinukuu maandiko matakatifu…
Dar es Salaam. Kufuatia kusuasua kwa utekelezaji wa mipango ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kunakosababishwa na ukata wa fedha, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala) kutoka Tanzania, Dk Abdullah Hasnuu Makame amewataka wakuu wa nchi kukutana kujadili namna ya kuziba nyufa ili kuinusuru Jumuiya hiyo. Dk Makame amebainisha hayo leo Februari 12, 2026…
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema tatizo la wanafunzi kukosa madawati na kukaa chini si uhaba wa fedha bali ni ukosefu wa mipango madhubuti ya muda mrefu. Amesema viongozi wanapaswa kuwa na makadirio ya miaka 10 hadi 15 mbele ili kujua idadi ya wanafunzi na mahitaji yao. Akizungumza…
Manyoni, Singida, Februari 12, 2026 — Ziara ya mafunzo ya wataalamu wa Idara ya Misitu Zanzibar imeingia siku ya pili leo kwa ujumbe huo kuanza rasmi mafunzo ya vitendo katika Shamba Darasa la Nyuki la TFS, wilayani Manyoni. Mafunzo hayo yameanza kwa mada ya uanzishaji na usimamizi bora wa Hifadhi za Nyuki (Bee Reserves) iliyowasilishwa…
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limemuachia huru kiongozi wa madereva wa malori, mabasi na IT–Tanzania (Tatamata), Godlove Materu, aliyemshikilia kwa siku tano huku familia na umma wakikosa taarifa za kujua mahali alipo. Wakati uongozi huo ukidai ameachiwa huru, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Agustino Senga amethibitisha kwamba, “Ni kweli ameachiwa kwa dhamana na…
Dar es Salaam. Taarifa ya mshitakiwa wa uhaini, Tundu Lissu mbele ya mahakama kwamba hajala, imewalazimu jopo la majaji wa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kuahirisha kesi hiyo hadi kesho. Baada ya majaji kutoka katika ukumbi wa Mahakama ya wazi namba moja inamosikilizwa kesi hiyo vilio na makelele ya lawama kutoka kwa ndugu,…