JIJI LA ARUSHA YAJA KIVINGINE USAFI WA MAZINGIRA
Na.Ashura Mohamed -Arusha Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Bw.Joseph Modest Mkude amewataka wananchi wa Wilaya ya Arusha Mjini kuhakikisha kuwa wanajenga tabia ya kufanya Usafi wa mazingira katika Maeneo yao wanayoishi. Mkude amesema kuwa ikiwa kila mwananchi atafanya Usafi katika Maeneo yake ni wazi kuwa Maeneo mengi ya Wilaya ya Arusha yatakuwa safi na…