Wananchi wa vijiji vitano Pangani wataka kulipwa fidia mapema
Tanga. Wananchi wa vijiji vitano Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, wanatarajiwa kuondoka katika makazi yao kupisha utekelezaji wa mradi mkubwa wa uchimbaji wa madini ya Tembo (heavy minerals), baada ya kukamilika kwa utaratibu wa ulipaji wa fidia. Vijiji vinavyohusika katika mradi huo ni Stahabu, Bweni, Mzambarauni, Mikinguni na Mwera, ambapo maeneo hayo yamegundulika kuwa na…