Serikali yatenga Sh125 bilioni kujenga mabwawa

Dar es Salaam. Serikali imetenga Sh125 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa mabwawa saba katika mikoa ya Morogoro na Dodoma baada ya upembuzi yakinifu kukamilika. Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo amesema hayo alipopewa nafasi na Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuwasalimia wakazi wa Gulwe, Mpwapwa mkoani Dodoma. Dk Mwigulu jana Januari 2, 2026 alifanya ukaguzi wa…

Read More

LUSWETULA: SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA UFANYAJI BIASHARA NCHINI

Na Benny Mwaipaja, Mpanda Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Luswetula (Mb), ameihakikishia jumuiya ya wafanya biashara na wajasiriamali nchini kwamba Serikali itaendelea kuwawekea mazingira mazuri ya uwekezaji na ufanyaji biashara ili kukuza biashara zao. Mhe. Luswetula ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na jumuiya ya wafanyabiashara mjini Mpanda mkoani Katavi ambapo amesisitiza kuwa hatua hiyo…

Read More

Maxime: Mbeya City ni ya burudani na mabao

‘RAHA ya mpira bao’. Ni kauli ya Kocha Mkuu wa Mbeya City, Mecky Maxime akielezea mipango yake akiahidi mambo mazuri pale Ligi Kuu Bara itakaporejea mapema mwezi huu. Maxime alitambulishwa kikosini hapo Desemba 16, mwaka jana, akichukua mikoba ya Malale Hmasin, ambapo tayari ameshaanza kibarua huku akisubiri kurejea kwa ligi ambayo imesimama kwa muda kupisha…

Read More

DKT. MWIGULU AKUTANA NA MAWAZIRI WA MAJI NA FEDHA

……. Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 03, 2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso  na Waziri wa Fedha, Balozi,  Khamis Omar katika kikao cha kazi kilichofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 3, 2026.  Kikao hicho pia kiliwahusisha viongozi na watendaji kutoka TAMISEMI, Wizara ya Fedha na Wizara ya…

Read More

Kidia One yapata ajali Kilimanjaro, abiria wanusurika

Moshi. Abiria kadhaa wamenusurika  baada ya basi la Kampuni ya Kidia One lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Nairobi nchini Kenya kugongana na lori lililokuwa likitoka Arusha kwenda Moshi katika eneo la Kwasadala, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro. Katika ajali hiyo, watu wawili wamejeruhiwa, akiwemo kondakta wa basi la Kidia One na abiria mmoja, ambao…

Read More

Huko AFCON wikiendi hii acha kipigwe tu

WIKIENDI ya moto kwelikweli. Huko Ulaya zitapigwa mechi za ligi England, Hispania, Italia na Ufaransa. Mashabiki wanataka kujua timu wanazozishabikia zitatoboa mbele ya wapinzani. Achana na mechi hizo, Afrika kuna kazi nzito wakati mechi za 16 Bora ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 inaanza leo Jumamosi zikipigiwa mbili kabla ya kesho Jumapili kupigwa…

Read More

JIJI LA ARUSHA YAJA KIVINGINE USAFI WA MAZINGIRA

Na.Ashura Mohamed -Arusha Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Bw.Joseph  Modest  Mkude amewataka wananchi wa Wilaya ya Arusha Mjini kuhakikisha kuwa wanajenga tabia ya kufanya Usafi wa mazingira katika Maeneo yao wanayoishi. Mkude amesema kuwa ikiwa kila mwananchi atafanya Usafi katika Maeneo yake ni wazi kuwa Maeneo mengi ya Wilaya ya Arusha yatakuwa safi na…

Read More