Dosari kisheria zageuka mlango wa uhuru kwa aliyehukumiwa kifo

Arusha. Ilianza kama kesi ya mauaji iliyoonekana kumalizika miaka kadhaa iliyopita, lakini Desemba 29, 2025, ukurasa mpya ulifunguliwa katika maisha ya Jackson Wambura. Siku hiyo, Mahakama ya Rufaa iliyoketi Dar es Salaam ilifuta hukumu ya kunyongwa hadi kufa aliyokuwa amepewa, baada ya kubaini kuwa safari ya kesi yake ilijaa dosari za kisheria zilizovunja msingi wa…

Read More

Gates of Halloween Ya Meridianbet Kutikisa Dunia Ya Wabashiri

MSISIMKO wa Halloween bado unaendelea mpaka sasa ingawa Halloween yenyewe imepita. Kupitia Meridianbet, mchezo wa kasino mtandaoni ujulikanao kama Gates of Halloween, unakufungulia mlango wa kuingia kwenye ulimwengu wa matukio ya kutisha, bonasi zisizoisha, na ushindi wa kufa mtu. Ndani ya mchezo huu, njia za ushindi zipo wazi kabisa. Wachezaji wanatakiwa kupata alama nane au…

Read More

DKT. JINGU ATAKA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KUWAFIKIA WANANCHI

………  📌 AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII SINGIDA. Na Abdala Sifi WMJJWM- Singida  Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu amewataka Maafisa Maendeleo ya Jamii kuhakikisha wanawafikia wananchi kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali na kuharakisha maendeleo ya wananchi.  Dkt Jingu amesema hayo tarehe…

Read More

TRA Tanga yavuka lengo la makusanyo kwa asilimia 139

Tanga. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Tanga imevuka lengo la makusanyo ya kodi kwa asilimia 139 baada ya kukusanya Sh252.8 bilioni katika kipindi cha miezi sita ya kwanza ya mwaka wa fedha 2025/2026, kuanzia Julai hadi Desemba 2025. Kiasi hicho ni zaidi ya lengo la Sh181.9 bilioni walilopangiwa kukusanya katika kipindi hicho. Kauli…

Read More

ZRA yavuka lengo la makusanyo Desemba, sababu zatajwa

Unguja. Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) imefanikiwa kuvuka lengo la makusanyo ya mapato kwa Desemba 2025 baada ya kukusanya Sh90.873 bilioni kati ya Sh90.524 bilioni iliyokadiriwa, sawa na ufanisi wa asilimia 100.39. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Januari 2, 2026 na Mkuu wa Kitengo cha Habari, Uhusiano na Huduma kwa Wateja…

Read More

Uharibifu SGR waibua maswali | Mwananchi

Dar/Dodoma. Wakati baadhi ya wananchi wakikosoa usanifu na ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) baada ya kusimama kwa huduma kutokana na athari za mvua, Shirika la Reli Tanzania (TRC), limesema sababu za kusimamishwa hazihusiani na kasoro zinazotajwa. Akizungumza na Mwananchi Januari 2, 2026, Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Machibya Masanja, amesema kilichotokea ni kumomonyoka…

Read More