ODDS Kubwa Zipo Meridianbet Leo

LEO hii wakali wa ubashiri Meridianbet wanakwambia kuwa kutengeneza pesa ni rahisi sana kama ukiamua kusuka jamvi lako la ushindi leo. Mechi zilizopo zina Odds za kibabe hivyo ingia na ubeti hapa. LALIGA kule Hispania itaendelea kwa mechi moja ambapo Rayo Vallecano atamleta kwake Getafe ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 15 kwa 11 huku…

Read More

Serikali yatangaza kipaumbele cha ajira kwa vijana

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaweka kipaumbele katika utoaji wa ajira kwa vijana kwa kuhakikisha fursa zinazotokana na miradi ya maendeleo zinafika hadi ngazi ya shehia badala ya kubaki katika ofisi za mikoa na wilaya pekee. Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa, Januari 2, 2025, na Waziri wa Vijana, Ajira na Uwezeshaji Zanzibar, Shaaban…

Read More

Sintofahamu maziko ya Lungu akitimiza miezi sita tangu afariki

Dar es Salaam. Ikiwa imepita miezi sita tangu alipofariki dunia, Rais mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu, bado mazishi yake yametawaliwa na sintofahamu kutokana na mvutano kati ya familia na Serikali ya Zambia. Lungu alifariki dunia Juni 5, 2025 katika hospitali ya Mediclinic Mediforum mjini Pretoria, Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu hadi alipofariki dunia, akiwa na…

Read More