Historia Yaandikwa New York Meya wa Kwanza Mwislamu Aanza Kazi
Historia Yaandikwa New York Meya wa Kwanza Mwislamu Aanza Kazi – Global Publishers Home Habari Historia Yaandikwa New York Meya wa Kwanza Mwislamu Aanza Kazi
Historia Yaandikwa New York Meya wa Kwanza Mwislamu Aanza Kazi – Global Publishers Home Habari Historia Yaandikwa New York Meya wa Kwanza Mwislamu Aanza Kazi
Dar es Salaam. Ikiwa imepita miezi sita tangu alipofariki dunia, Rais mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu, bado mazishi yake yametawaliwa na sintofahamu kutokana na mvutano kati ya familia na Serikali ya Zambia. Lungu alifariki dunia Juni 5, 2025 katika hospitali ya Mediclinic Mediforum mjini Pretoria, Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu hadi alipofariki dunia, akiwa na…
…………. NA. MWANDISHI WETU KILOSA Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) kupitia Idara ya Menejimenti ya Maafa leo Tarehe 2, Januari 2026 imekabidhi vifaa mbalimbali vya misaada ya kibinadamu kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa kwa Ajili ya waathirika wa Mafuriko Katika Kata ya Tindiga Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro. Makabidhiano…
PM Mwigulu Aanza Ziara Morogoro, Akagua Mradi Mkubwa wa Bwawa la Kidunda – Global Publishers Home Habari PM Mwigulu Aanza Ziara Morogoro, Akagua Mradi Mkubwa wa Bwawa la Kidunda
Maswa. Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Dk Vicent Anney, amewaonya watu wote waliovamia maeneo ya taasisi za Serikali kuondoka mara moja, akisisitiza kuwa Serikali haitasita kuchukua hatua za kisheria dhidi ya yeyote atakayekiuka agizo hilo. Kauli hiyo imetolewa leo Januari 2, 2026 katika Kijiji cha Mwamitumai, kufuatia migogoro ya ardhi katika shule za msingi Mwamitumai,…
Sweet Holiday Chase Ndani ya Meridianbet Na Mvua Ya Zawadi – Global Publishers Home Burudani Sweet Holiday Chase Ndani ya Meridianbet Na Mvua Ya Zawadi
BAADA ya makipa wawili wa Simba, Moussa Camara na Yakoub Suleiman kuumia huku wakitarajiwa kurudi uwanjani Februari 2026, kipa aliyebaki, Hussein Abel ametoa kauli ya upambanaji. Abel ambaye hajapata nafasi ya kucheza msimu huu mechi yoyote ya mashindano ndani ya Simba, ndiye amebaki kuwa tegemeo akitarajiwa kukaa langoni katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2026….
Watu 40 Wafariki, Zaidi ya 100 Wajeruhiwa Mkesha wa Mwaka Mpya – Video – Global Publishers Home Habari Watu 40 Wafariki, Zaidi ya 100 Wajeruhiwa Mkesha wa Mwaka Mpya – Video
Michezo Moto Barani Ulaya na Asia: Yote Uliyopaswa Kujua Leo – Global Publishers Home Michezo Michezo Moto Barani Ulaya na Asia: Yote Uliyopaswa Kujua Leo
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) kwa kushirikiana na ubalozi wa India, umewashindanisha wanafunzi 20 katika sanaa ya uchoraji iliyobeba mada kuu ya uhusiano wa Bahari wa Hindi na tamaduni za nchi ya Tanzania na India. Mashindano hayo yaliyofanyika kwa siku tatu chuoni hapo ambapo mshiriki alitakiwa kuonyesha uhusiano wa kiutamaduni uliopo kati ya…