Waziri Mkuu Japan ataka matundu ya choo yaongezwe jengo la Bunge
Japan. Waziri Mkuu wa Japan, Sanae Takaichi ameongeza nguvu kushawishi kutaka vyoo vya wanawake viongezwe katika jengo la Bunge nchini humo ili kupunguza foleni. Katika taarifa iliyochapishwa Mtandao wa BBC Januari 1, 2026 imeeleza kuwa, Takaiche ni miongoni mwa wabunge wanawake 60 waliowasilisha ombi la kuongezwa kwa vyoo vya wanawake katika jengo la Bunge ili…