Steve Barker aanza na gia kubwa Simba

KIKOSI cha Simba tayari kipo visiwani Zanzibar kwa ajili ya ushiriki wa michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 baada ya kuondoka jijini Dar es Salaam asubuhi ya jana, huku ikibainika kuwa kocha mpya wa Simba, Steve Barker ameanza na gia kubwa kwa kubadilisha baadhi ya mambo ndani ya kambi ya timu hiyo. Simba imepangwa Kundi…

Read More

Doumbia, Conte waivimbia Yanga dirisha dogo

SAA chache tu tangu kuandika taarifa kwamba viungo wa Yanga, Mousa Balla Conte na Mohamed Doumbia walikuwa mbioni kupishana na viungo kutoka Singida Black Stars, Marouf Tchakei na Mohamed Domaro, nyota wao walitua Jangwani msimu huu inadaiwa wametia mgomo kuondoka kwenda Singida BS kwa mkopo. Inadaiwa wachezaji wao wamebadilisha upepo kwa kugoma kutolewa kwa mkopo…

Read More

Kocha Mlandege atupa taulo mapema Mapinduzi Cup

MABINGWA watetezi wa Kombe la Mapinduzi, Mlandege FC, hesabu zinaonyesha wameumaliza mwendo katika michuano hiyo baada ya kupoteza mechi mbili za kwanza hatua ya makundi. Mlandege ilianza kufungwa 3-1 na Singida Black Stars (Desemba 28, 2025), kisha ikalambwa 1-0 na URA ya Uganda (Desemba 31, 2025) mechi zote zikichezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja….

Read More

MBUNGE CHATO KUSINI AWASHIKA MKONO WATOTO WA 2026 I

………… CHATO “Kutoa ni moyo wala si utajiri” ni methali ya kiswahili inayo maanisha ukarimu wa kweli hutoka moyoni na hauhusiani na kiasi cha mali ulichonacho. Msemo huo umeonekana kuungwa mkono kwa vitendo na Mbunge wa Jimbo la Chato kusini, Pascal Lukas Lutandula, baada ya kuwatembelea wajawazito, na wazazi waliojifungua siku ya mwaka mpya 2026…

Read More

Mwaka mpya, mambo ya zamani kwa mstaafu!

Ni miaka ilee tulipokuwa tukiijenga nchi kwa jasho na damu mpaka kufika hapa, pa wawakilishi wetu wa wananchi kulipwa mshahara wa Shilingi… mama wee!… Milioni 14 kwa mwezi, wakati sisi tulioijenga nchi tukilipwa pensheni ya Shilingi… mama wee!… Laki moja na hamsini elfu! Yale yale ya ‘shamba la wanyama’! Kwenye kuijenga nchi huko, tukakutana na…

Read More

Matatizo ya moyo, damu yanavyochangia vifo vya ghafla

Magonjwa ya kimya kimya yanayoweza kusababisha kifo cha ghafla,  mara nyingi yanahusiana na mfumo wa moyo na mishipa ya damu. Katika magonjwa hayo, yale yanayohusu  kusimama kwa moyo ghafla na shambulizi la moyo, ndio vinara zaidi katika kupoteza roho za watu wengi. Mshtuko wa moyo ni tatizo la mzunguko wa damu linalosababishwa na mshipa ulioziba,…

Read More