Ruwa’ichi:2025 ulikuwa mwaka mgumu, mzito

Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu  Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thadaeus Ruwa’ichi amesema 2025 ulikuwa mwaka mgumu na mzito. Amesema mwaka huo ambao pia ulikuwa  Jubilei Kuu, ulikuwa na changamoto hasa kwao kama Watanzania, akisisitiza ulikuwa mgumu, wa majonzi, masikitiko na vifo. “Lakini hata katika magumu hayo, Mungu hajatuacha, Mungu hajatutupa,…

Read More

Mchungaji Malisa matatani, ashitakiwa kwa uhaini

Dar es Salaam. Mchungaji Godfrey Malisa aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kabla ya kufukuzwa uanachama mwaka jana, ameshitakiwa kwa kosa la uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi. Kesi hiyo iliyopangwa kutajwa kesho Ijumaa Januari 2, 2026, ipo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Ally Mkama wa Mahakama hiyo mkoani Kilimanjaro. Hadi kufikia kesho,…

Read More

Maendeleo ya afya yaliashiria 2025 kama vita na mifumo iliyopunguzwa ya ufadhili – Masuala ya Ulimwenguni

Hata kama kupunguzwa kwa ufadhili, migogoro na majanga ya hali ya hewa yaliathiri mifumo ya afya duniani kote – kutatiza huduma muhimu katika nchi nyingi – serikali na washirika bado walirekodi mafanikio makubwa katika kudhibiti magonjwa, kuzuia na kujitayarisha. Shirika la afya la Umoja wa Mataifa anasema picha mchanganyiko ya maendeleo na shinikizo ndani 2025…

Read More