Straika Mkongomani aingia rada za Dodoma
MABOSI wa Dodoma Jiji wameanza maboresho ya kikosi hicho kimya kimya katika dirisha hili dogo linalofunguliwa rasmi leo Januari 1, 2026, ambapo kwa sasa wanakaribia kupata saini ya mshambuliaji nyota raia wa DR Congo, Osako Ngeleda Modeste. Chanzo kutoka ndani ya uongozi wa timu hiyo, kimeliambia Mwanaspoti, Modeste amefikia makubaliano ya kujiunga na kikosi hicho,…