Mapinduzi CUP 2026: Kocha aanika mikakati ya URA

MABINGWA mara moja wa Kombe la Mapinduzi mwaka 2016, URA wameanika mikakati yao katika mashindano hayo yaliyoanza Desemba 28, 2025 yakichezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja. URA kutoka Uganda ambayo jana saa 10:15 jioni ilikuwa uwanjani kucheza dhidi ya Mlandege, ilikuwa ni mechi yao ya kwanza kundi A baada ya ile dhidi ya Azam…

Read More

Jeshi la Steve Barker Simba hili hapa

SIMBA kuna kazi moja inamaliziwa na wakati wowote kuanzia jana mpaka muda huu unaposoma gazeti hili itakuwa imemalizika kwenye kuunda benchi jipya la ufundi la kocha mpya wa wekundu hao Steve Barker. Barker tayari yupo nchini akitua na watu wawili wa kazi ambapo sura ya benchi lake imeanza kutoa picha kwamba jamaa amekuja kupigania heshima…

Read More

Wawili wapishana na Doumbia, Conte Yanga

YANGA imepunguza mastaa wawili wa kigeni katika kikosi ilichonacho na kuingiza mashine mbili za kazi ikipiga hesabu za muda mfupi kuboresha kikosi hicho kwa ngwe ijayo ya michuano ya kimataifa na Ligi Kuu Bara. Iko hivi. Yanga itawasajili viungo wawili na wote watatokea Singida Black Stars wa kwanza ni Marouf Tchakei, raia ya Togo  ambaye…

Read More

Matokeo yanatarajiwa Januari 5 baada ya uchaguzi wa kihistoria katika Jamhuri ya Afrika ya Kati – Masuala ya Ulimwengu

Kulingana kwa MINUSCA, Taarifa za awali kutoka kwa waangalizi zinaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 99 ya vituo vya kupigia kura kote nchini vilifunguliwa kama ilivyopangwa siku ya uchaguzi.. Uhamishaji wa bahasha zilizo na matokeo kutoka miji mikuu 19 ya mkoa hadi mji mkuu wa kitaifa, Bangui, unaendelea, kwa msaada wa vifaa na usalama kutoka kwa…

Read More