Wawili wapishana na Doumbia, Conte Yanga
YANGA imepunguza mastaa wawili wa kigeni katika kikosi ilichonacho na kuingiza mashine mbili za kazi ikipiga hesabu za muda mfupi kuboresha kikosi hicho kwa ngwe ijayo ya michuano ya kimataifa na Ligi Kuu Bara. Iko hivi. Yanga itawasajili viungo wawili na wote watatokea Singida Black Stars wa kwanza ni Marouf Tchakei, raia ya Togo ambaye…