Nangu: Kuna tofauti kubwa kati ya Simba na JKT Tanzania
BEKI wa kati wa Simba aliyepo katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 akiwa na timu ya taifa, Taifa Stars, Wilson Nangu amesema kuna utofauti kubwa ya kimaisha na kisoka kati ya timu aliyotoka JKT Tanzania na kule alioko kwa sasa Msimbazi, huku akianika kinachombeba awapo uwanjani. Simba ilimsajili Nangu kwa mkataba…