DC GAIRO AIPONGEZA TRA KWA UKUSANYAJI WA MAPATO
Farida Mangube Morogoro. MKUU wa Wilaya ya Gairo, mkoani Morogoro, Japhari Kubecha, ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilayani humo kwa kazi nzuri wanayofanya katika ukusanyaji wa mapato ya serikali, akisisitiza kuwa juhudi hizo zimechangia kwa kiasi kikubwa upatikanaji wa rasilimali za utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Akizungumza ofisini kwake baada ya kutembelewa na Meneja…