Ngoma za Moto! Amapiano na Vibe Zilizopendwa na Mashabiki 2025
Ngoma za Moto! Amapiano na Vibe Zilizopendwa na Mashabiki 2025 – Global Publishers Home Burudani Ngoma za Moto! Amapiano na Vibe Zilizopendwa na Mashabiki 2025
Ngoma za Moto! Amapiano na Vibe Zilizopendwa na Mashabiki 2025 – Global Publishers Home Burudani Ngoma za Moto! Amapiano na Vibe Zilizopendwa na Mashabiki 2025
Morocco Vs Tanzania: Mchezo wa 16 Bora Unaotarajiwa Kushangaza Mashabiki – Global Publishers Home Michezo Morocco Vs Tanzania: Mchezo wa 16 Bora Unaotarajiwa Kushangaza Mashabiki
Kulingana kwa MINUSCA, Taarifa za awali kutoka kwa waangalizi zinaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 99 ya vituo vya kupigia kura kote nchini vilifunguliwa kama ilivyopangwa siku ya uchaguzi.. Uhamishaji wa bahasha zilizo na matokeo kutoka miji mikuu 19 ya mkoa hadi mji mkuu wa kitaifa, Bangui, unaendelea, kwa msaada wa vifaa na usalama kutoka kwa…
. …. CHATO HATIMAYE Mbunge wa Jimbo la Chato Kusini, Pascal Lukas Lutandula, ameamua kupambana na zimwi la vifo vya wanafunzi wa shule ya msingi Ibondo ambao awali walikuwa wakipoteza maisha kutokana na ajali za barabarani. Kwa mujibu wa Mbunge huyo, wanafunzi takribani 18 wamepoteza maisha wakati wakivuka barabara kuu ya Bwanga kwenda Mwanza, wakati…
Kwa mujibu wa Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu (OCHA), tangu tarehe 26 Desemba, mashambulizi nchini kote pia yalisababisha uharibifu mkubwa kwa miundombinu ya kiraia, na kuacha sehemu za nchi bila umeme, joto na maji, huku halijoto ikishuka chini ya sifuri. Kote nchini, mamlaka ziliripoti karibu vifo vya raia 100 katika kipindi hiki. Matokeo…
Ukraine Yakanusha Shambulio la Droni Dhidi ya Makazi ya Putin, Urusi Yazidi Kudai – Global Publishers Home Habari Ukraine Yakanusha Shambulio la Droni Dhidi ya Makazi ya Putin, Urusi Yazidi Kudai