Kanuni kuwabana wawekezaji kutoa CSR mbioni Zanzibar

Unguja. Wakati zikiandaliwa kanuni kuwabana  wawekezaji kuwajibika kwa jamii (CSR) katika maeneo wanayowekeza, Serikali imesema inatambua mchango wa sekta binafsi katika kukuza na kuendeleza uwekezaji, hivyo itahakikisha inaweka mazingira wezeshi kuvutia wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema hayo leo  Januari Mosi, 2026 wakati…

Read More

Ajali ilivyoua watu 10 mkesha wa mwaka mpya

Morogoro. Mbali na dereva wa lori kuhama njia na kugongana uso kwa uso na basi, ajali iliyosababisha vifo vya watu 10 na wengine 23 kujeruhiwa, mvua na mwendokasi pia vinatajwa kuwa chanzo. Baadhi ya majeruhi wakizungumza leo, Januari mosi, 2026, wakiwa wodini katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, wameeleza waliyoshuhudia katika ajali hiyo…

Read More

Ufunguzi wa Ofisi ya CRDB Bank Dubai sasa umeiva, Nsekela Aridhishwa na Utayari wake Katika Kukuza Biashara na Uwekezaji

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, ametembelea Ofisi ya Uwakilishi ya Benki ya CRDB iliyopo Dubai, Falme za Kiarabu, ikiwa ni hatua muhimu kuelekea uzinduzi rasmi wa ofisi hiyo unaotarajiwa kufanyika mapema Januari 2026. Katika ziara hiyo, Nsekela alipokea taarifa ya kina kuhusu utekelezaji wa shughuli za ofisi tangu ilipoanza kazi rasmi Oktoba…

Read More

Unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto ‘uliokithiri, wa kimfumo na umeenea’ kote DR Congo, UNICEF yaonya – Masuala ya Ulimwenguni

Ongezeko hilo linatokea dhidi ya hali ya mzozo unaoongezeka mashariki mwa DRC, ambapo mapigano mapya yamesababisha watu wengi kuhama makazi yao, kubomoa mifumo ya ulinzi na kuzidisha mzozo mkubwa wa kibinadamu – na kuwaweka watoto katika hatari kubwa ya kunyanyaswa, kunyonywa na kiwewe cha kudumu. UNICEF ina kuitwa mara kwa mara kwa ajili ya kusitishwa…

Read More

Ruwa’ichi:2025 ulikuwa mwaka mgumu, mzito

Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu  Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thadaeus Ruwa’ichi amesema 2025 ulikuwa mwaka mgumu na mzito. Amesema mwaka huo ambao pia ulikuwa  Jubilei Kuu, ulikuwa na changamoto hasa kwao kama Watanzania, akisisitiza ulikuwa mgumu, wa majonzi, masikitiko na vifo. “Lakini hata katika magumu hayo, Mungu hajatuacha, Mungu hajatutupa,…

Read More