Fanya haya ili ufanikiwe mwaka 2026

Mwaka 2025 unapofikia tamati, ni wakati mzuri wa kujitathmini. Watanzania wengi tulianza mwaka tukiwa na malengo mazuri ya kifedha kama kuweka akiba, kupunguza madeni, kuanzisha biashara, kuwekeza au kusimamia fedha zetu kwa nidhamu. Kwa baadhi ya watu, malengo haya yalitimia na kwa wengine yalipotea taratibu kutokana na changamoto za maisha ya kila siku. Kujitathmini si…

Read More

Nafasi ya Ushindi Ipo Meridianbet Leo

LEO hii ni siku nzuri kwako wewe kubashiri na wakali wa ubashiri Meridianbet. Mechi kibao za pesa zipo kwaajili yako hivyo suka jamvi lako la ushindi na uibuke bingwa. EPL kama kawaida inaendelea ambapo Crystal Palace atamleta kwake Fulham huku mara ya mwisho kukutana mwenyeji aliondoka na ushindi mnono. Meridianbet wameipa mechi hii Odds kubwa…

Read More

Mambo sita duru la kwanza Ligi Kuu Zanzibar 2025/26

WAKATI duru la kwanza katika Ligi Kuu Zanzibar likimalizika, mambo mbalimbali yamejitokeza ikiwamo kufungiwa kwa waamuzi, wachezaji, viongozi na hata mashabiki walioonekana kwenda kinyume cha utaratibu. Mwanaspoti linakuchambulia mambo sita yaliyojiri katika duru hilo la kwanza la Ligi Kuu Zanzibar inayoshirikisha timu 16. Waamuzi sita wa ligi hiyo wamekutana na adhabu ya kufungiwa kuchezesha baadhi…

Read More