Mambo sita duru la kwanza Ligi Kuu Zanzibar 2025/26

WAKATI duru la kwanza katika Ligi Kuu Zanzibar likimalizika, mambo mbalimbali yamejitokeza ikiwamo kufungiwa kwa waamuzi, wachezaji, viongozi na hata mashabiki walioonekana kwenda kinyume cha utaratibu. Mwanaspoti linakuchambulia mambo sita yaliyojiri katika duru hilo la kwanza la Ligi Kuu Zanzibar inayoshirikisha timu 16. Waamuzi sita wa ligi hiyo wamekutana na adhabu ya kufungiwa kuchezesha baadhi…

Read More

Laki tano yaongeza mzuka kwa mastaa Mapinduzi Cup 2026

SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) lina msemo wake maarufu ‘Play Fair, Be Positive’ ukiwa na maana kwamba ‘Cheza kwa Haki, Kuwa Chanya’. Sasa katika kuhakikisha mchezo wa mpira wa miguu unakuwa wa haki au kiungwana katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2026 yanayoendelea kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja, kuna zawadi ya Mchezaji…

Read More

10 wafariki dunia, 18 wajeruhiwa ajalini Morogoro

Morogoro. Watu 10 wamefariki dunia huku wengine 18 wakijeruhiwa katika ajali barabarani iliyohusisha basi la abiria aina ya Mitsubishi Fuso, mali ya Kampuni ya Bill Mawio, kugongana uso kwa uso na lori la mizigo aina ya Howo lenye tela, mali ya Kampuni ya Kikori. Magari yote mawili yaliteketea kwa moto baada ya ajali hiyo. Ajali…

Read More

Utafiti wa WHO unaonyesha chanjo za COVID bado ni muhimu katika kuzuia ugonjwa mbaya – Masuala ya Ulimwenguni

Ingawa COVID 19 haisababishi tena usumbufu mkubwa unaoonekana wakati wa dharura ya afya ya ulimwengu, virusi vinaendelea kulaza na kuua watu kote Uropa na mikoa jirani. Tafiti zinazoongozwa na WHO Ofisi ya Kanda ya Ulaya inathibitisha kwamba watu wanaopokea dozi za nyongeza kwa wakati wana uwezekano mdogo sana wa kupata magonjwa mazito, wanahitaji uangalizi mkubwa…

Read More

Kinara wa mabao ZPL amepania kinoma

MBONI Steven Kibamba amepania kufanya vizuri katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inayoendelea kwenye Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja. Nyota huyo wa Fufuni FC anayecheza eneo la ushambuliaji, ndiye kinara wa mabao kwenye Ligi Kuu Zanzibar msimu huu 2025-2026 akiwa amepachika mabao 10 katika mechi 15 za duru la kwanza. Pia ana…

Read More

AJALI YAUA WATU 10 MOROGORO, 18 WAJERUHIWA

Farida Mangube Morogoro. Watu kumi wamefariki Dunia na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali  ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia leo Januari Mosi 2026 katika eneo la Mwidu Mikese, mkoani Morogoro. Ajali hiyo ilihusisha basi dogo na lori la mizigo imetokea katika Kijiji cha Maseyu, Kata ya Gwata, Wilaya ya Morogoro. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa…

Read More

Straika Mkongomani aingia rada za Dodoma

MABOSI wa Dodoma Jiji wameanza maboresho ya kikosi hicho kimya kimya katika dirisha hili dogo linalofunguliwa rasmi leo Januari 1, 2026, ambapo kwa sasa wanakaribia kupata saini ya mshambuliaji nyota raia wa DR Congo, Osako Ngeleda Modeste. Chanzo kutoka ndani ya uongozi wa timu hiyo, kimeliambia Mwanaspoti, Modeste amefikia makubaliano ya kujiunga na kikosi hicho,…

Read More

DC GAIRO AIPONGEZA TRA KWA UKUSANYAJI WA MAPATO

 Farida Mangube Morogoro. MKUU wa Wilaya ya Gairo, mkoani Morogoro, Japhari Kubecha, ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilayani humo kwa kazi nzuri wanayofanya katika ukusanyaji wa mapato ya serikali, akisisitiza kuwa juhudi hizo zimechangia kwa kiasi kikubwa upatikanaji wa rasilimali za utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Akizungumza ofisini kwake baada ya kutembelewa na Meneja…

Read More