Saad Kawemba aula Mbeya Kwanza

KLABU ya Mbeya Kwanza imefikia makubaliano ya kumuajiri, Saad Kawemba ili awe Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) baada ya pande mbili kufikia uamuzi huo, ikiwa ni pendekezo la mmiliki wa kikosi hicho chenye makazi yake mjini Tabora, Yusuph Kitumbo. Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Mbeya Kwanza, umeliambia Mwanaspoti, Kawemba amefikia uamuzi huo baada ya kupokea…

Read More

Kocha JKT Queens akiri shughuli nzito WPL

KOCHA wa JKT Queens, Kessy Abdallah amesema ushindani wa Ligi Kuu ya Wanawake msimu huu ni mkubwa kiasi kwamba kosa dogo linaweza kuigharimu timu kisaikolojia. Kessy aliyejiunga na JKT msimu huu akitokea African Sports ya Tanga ameanza vibaya msimu huu ukitofautisha na msimu uliopita kwenye mechi tisa ameiongoza JKT kushinda saba, kupoteza moja shisi ya…

Read More

Majeraha yamtibulia Kapera Polisi Tanzania

ALIYEKUWA mshambuliaji wa maafande wa Polisi Tanzania, Ramadhan Kapera, amejiweka kando na kikosi hicho, licha ya hivi karibuni kuanza mazoezi na timu hiyo, baada ya kusumbuliwa na jeraha la goti alilolipata kufuatia kupata ajali ya gari. Nyota huyo aliyeitumikia timu hiyo msimu wa 2020-2021, alirejea tena ndani ya kikosi hicho msimu huu, baada ya kuachana…

Read More

Mohamed Kijuso atangaza vita mpya mapema 

KOCHA msaidizi wa Bigman FC, Mohamed Kijuso, amesema malengo ya timu hiyo kwa sasa ni kumaliza nafasi nne za juu, licha ya ushindani mkubwa uliopo hasa katika mechi za mzunguko wa pili, ambazo ndizo ngumu kutokana na mahitaji ya kila timu. Akizungumza na Mwanaspoti, Kijuso amesema hadi sasa hawako sehemu mbaya kutokana na pointi ambazo…

Read More

Bunda Queens washtukia jambo Ligi Kuu

KOCHA wa Bunda Queens, Alley Ibrahim amesema tofauti ya ubora kati ya timu nyingi imekuwa ndogo msimu huu jambo linaloongeza ushindani. Bunda iko nafasi ya nane na pointi tisa kwenye mechi 11 imeshinda tatu na sare nane ikifunga mabao 11 na kuruhusu mabao 27. Akizungumza na Mwanaspoti, Ibrahim amesema ongezeko la timu mbili limeongeza ushindani…

Read More

RC Chalamila aapa kuzifungua barabara zote sokoni Kariakoo

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amesema kuanza huduma katika Soko la Kariakoo, jijini Dar es Salaam kutaambatana na kufunguliwa na barabara zote zinazoingia na kutoka sokoni humo. Hatua hiyo kwa mujibu wa Chalamila, inalenga kuongeza usalama wa soko hilo, urahisi wa huduma na kurahisisha uokozi inapotokea changamoto….

Read More

Mgosi afichua changamoto duru la kwanza WPL

KOCHA msaidizi wa Simba Queens, Mussa Hassan ‘Mgosi’ amesema changamoto kubwa kwa timu hiyo imekuwa ni kushindwa kumalizia vizuri msimu, licha ya kuanza kwa nguvu kila mwaka. Simba iko kileleni mwa msimamo na pointi 31 ikiwa ni 11 zaidi na ilizonazo watetezi wa taji la Ligi hiyo, JKT Queens iliyopo nafasi ya tatu yenye nazo…

Read More

Kazini kwa Muya Coastal kuna kazi

BAADA ya Coastal Union kuchapwa mabao 3-0 dhidi ya Pamba Jiji katika mechi ya Ligi Kuu iliyopigwa Februari 6, 2026 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, imemfanya kocha mkuu wa timu hiyo, Mohamed Muya, kushinda moja tu kati ya 10 alizoiongoza msimu huu. Kocha huyo aliyezifundisha Fountain Gate na Geita Gold, alijiunga na Coastal…

Read More