10 wafariki dunia, 18 wajeruhiwa ajalini Morogoro
Morogoro. Watu 10 wamefariki dunia huku wengine 18 wakijeruhiwa katika ajali barabarani iliyohusisha basi la abiria aina ya Mitsubishi Fuso, mali ya Kampuni ya Bill Mawio, kugongana uso kwa uso na lori la mizigo aina ya Howo lenye tela, mali ya Kampuni ya Kikori. Magari yote mawili yaliteketea kwa moto baada ya ajali hiyo. Ajali…