Mambo sita duru la kwanza Ligi Kuu Zanzibar 2025/26
WAKATI duru la kwanza katika Ligi Kuu Zanzibar likimalizika, mambo mbalimbali yamejitokeza ikiwamo kufungiwa kwa waamuzi, wachezaji, viongozi na hata mashabiki walioonekana kwenda kinyume cha utaratibu. Mwanaspoti linakuchambulia mambo sita yaliyojiri katika duru hilo la kwanza la Ligi Kuu Zanzibar inayoshirikisha timu 16. Waamuzi sita wa ligi hiyo wamekutana na adhabu ya kufungiwa kuchezesha baadhi…