Jeshi la Steve Barker Simba hili hapa
SIMBA kuna kazi moja inamaliziwa na wakati wowote kuanzia jana mpaka muda huu unaposoma gazeti hili itakuwa imemalizika kwenye kuunda benchi jipya la ufundi la kocha mpya wa wekundu hao Steve Barker. Barker tayari yupo nchini akitua na watu wawili wa kazi ambapo sura ya benchi lake imeanza kutoa picha kwamba jamaa amekuja kupigania heshima…