Mchungaji Malisa matatani, ashitakiwa kwa uhaini
Dar es Salaam. Mchungaji Godfrey Malisa aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kabla ya kufukuzwa uanachama mwaka jana, ameshitakiwa kwa kosa la uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi. Kesi hiyo iliyopangwa kutajwa kesho Ijumaa Januari 2, 2026, ipo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Ally Mkama wa Mahakama hiyo mkoani Kilimanjaro. Hadi kufikia kesho,…