Migogoro ya kihaiba na athari zake kazini, jamii

Dar es Salaam. Migogoro ya kihaiba ni miongoni mwa sababu kuu zinazochangia misuguano katika maeneo ya kazi, familia na jamii kwa ujumla. Mara nyingi, migogoro hii haitokani na chuki au nia mbaya, bali hutokana na kugongana kwa haiba tofauti za watu. Pale watu wawili au zaidi wenye mitazamo, mienendo na njia za kufanya uamuzi zisizofanana…

Read More

Ofisi chimbo sahihi la kunasa mwenza maishani?

Dar es Salaam.​Katika kilele cha mapinduzi ya viwanda na mabadiliko ya mfumo wa kazi mwaka, watu wengi wanatumia zaidi ya asilimia 60 ya muda wao wakiwa macho ndani ya kuta za ofisi au kwenye mikutano ya kimtandao na wafanyakazi wenzao.  Kutokana na mazingira haya, ofisi imeacha kuwa sehemu ya kuzalisha bidhaa na huduma pekee; imekuwa…

Read More

Madhila ya ndoa za wenza chotara

Canada. Leo, tutaongelea ndoa za  watu wa rangi mbili tofauti maarufu Kiingereza kwa jina la  Interrracial marriages. Mara nyingi, katika ndoa hizi, watoto na wazazi huwa waathirika wa ama moja kwa moja au vinginevyo. Kwanza, watoto hujishangaa na kujiuliza “kwanini mimi sifanani na wenzangu?” Wengine huwakabili wazazi wao na kuwauliza. …

Read More

Unavyoweza kuishi na mwenza kisirani

Dar es Salaam. Kila uhusiano una changamoto zake, lakini moja ya changamoto ngumu zaidi ni kuishi na mwenza mwenye tabia ya kukasirika, anayependa kulalamika, kukasirika haraka, au kuona makosa katika kila jambo.  Wengi wamejikuta katika hali kama hii bila kujua nini cha kufanya. Wengine huamua kukimbia, wengine huteseka kimya kimya, na wachache hufanikiwa kubadilisha hali…

Read More

Kwanini muhimu kumpeleka mtoto kwa bibi na babu

Dar es Salaam. Katika mabadiliko ya kasi ya maisha ya sasa, wazazi wengi wamejikuta wakilea watoto wao katika mazingira ya mijini yenye shinikizo la kazi, teknolojia na majukumu mengi ya kifamilia. Katika muktadha huo, dhana ya kuwapeleka watoto kuishi au kumtembelea bibi na babu imeanza kupungua, licha ya kuwa na faida kubwa katika malezi na…

Read More

Unavyoeza kuishi na mwenza kisirani

Dar es Salaam. Kila uhusiano una changamoto zake, lakini moja ya changamoto ngumu zaidi ni kuishi na mwenza mwenye tabia ya kukasirika, anayependa kulalamika, kukasirika haraka, au kuona makosa katika kila jambo.  Wengi wamejikuta katika hali kama hii bila kujua nini cha kufanya. Wengine huamua kukimbia, wengine huteseka kimya kimya, na wachache hufanikiwa kubadilisha hali…

Read More

NGORONGORO YATANGAZA FURSA MPYA KWA WAONGOZA WATALII (THE BIRTH OF WONDERS PHOTO COMPETITION).

Na Kassim Nyaki, Ngorongoro. Mabadiliko makubwa katika ushirikishwaji wadau wa sekta ya utalii yameibuliwa na uongozi Mamlaka ya Hifadhi ya  Ngorongoro ikianza mwanzo wa safari mpya ya simulizi kwa chapa ya Destination Ngorongoro kwa kuzungumza sauti moja, iliyo thabiti, yenye kujiamini na kukumbukwa. Ngorongoro imeamua kuzindua shindano la upigaji  picha kwa waongoza watalii (Tour Guides) …

Read More

Kiungo Stand ana hesabu kali kikosini

BAADA ya kuanza kazi ndani ya kikosi cha Songea United, kiungo mshambuliaji, Shaban Ada amesema hesabu zake ni kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara ili kuimarisha kiwango chake, kuonekana na kucheza Ligi Kuu msimu ujao. Ada amejiunga na Songea United dirisha dogo la usajili lililofungwa Januari 30, 2026 akitokea Stand United ya Shinyanga inayoshiriki…

Read More