AJALI YAUA WATU 10 MOROGORO, 18 WAJERUHIWA
Farida Mangube Morogoro. Watu kumi wamefariki Dunia na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia leo Januari Mosi 2026 katika eneo la Mwidu Mikese, mkoani Morogoro. Ajali hiyo ilihusisha basi dogo na lori la mizigo imetokea katika Kijiji cha Maseyu, Kata ya Gwata, Wilaya ya Morogoro. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa…