ELIMU, USHIRIKI WA WANAWAKE KATIKA UNUNUZI WA UMMA CHACHU YA MAENDELEO NA UCHUMI JUMUISHI
Na Fatma Jalala Elimu na ushiriki wa wanawake katika ununuzi wa umma ni mhimili muhimu wa kukuza maendeleo ya kiuchumi na kujenga uchumi jumuishi nchini Tanzania, hasa katika kipindi hiki ambacho Serikali inaendelea kutekeleza Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2023. Sheria hiyo inazitaka taasisi zote za umma kutenga asilimia 30 ya ununuzi kwa…