Freshi wanetu…Ndo hivyo haikuwa rahisi
USIKU wa jana, zimepigwa mechi tatu za CAF zilizohusisha timu za Tanzania ambapo Yanga ilikabiliana na AS FAR Rabat, huku Simba ikicheza dhidi ya Petro Atletico, hizi zilikuwa katika Ligi ya Mabingwa Afrika zikicheza ugenini, wakati Azam ikaikaribisha AS Maniema kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. …