Kina cha maji, mizigo chanzo MV Mapinduzi II kushindwa kufanya kazi
Unguja. Licha ya Meli ya MV Mapinduzi II kukamilika matengenezo yake, lakini imeshindwa kufanya kazi kwa sababu ya kukosa sehemu ya kutia nanga katika bandari ya Malindi gati namba 3. Kutokana na hali hiyo, meli hiyo itasubiri kukamilika kwa ujenzi wa bandari ya Maruhubi inayoendelea kujengwa. Hayo yamebainishwa leo Alhamisi Februari 12, 2025 na Naibu…