IGP Wambura abana matumizi, anyooshea kidole maeneo matatu
Dar es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ametaja maeneo matatu yanayopaswa kusimamiwa kwa umakini katika kuimarisha nidhamu ya matumizi ya fedha za umma na kuondoa hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ndani ya jeshi hilo. Maeneo hayo ni utunzaji wa vielelezo, usimamizi wa mali za…