Tume ya maadili viongozi wa umma yapokea kesi 95 za uasharati, udhalilishaji kazini

Unguja. Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma imepokea kesi 95 kutoka kwa watumishi wa umma zikihusiana na uasherati, udhalilishaji wa kijinsia, rushwa na matumizi mabaya ya madaraka.  Kesi nyingine zinazohusiana na tabia zisizofaa zilizopokewa kwa kipindi cha miaka mitano ni pamoja na upendeleo katika ajira, kushindwa kulipa madeni, uonevu, utapeli, lugha za matusi, kutelekeza familia,…

Read More

Zimbabwe kubadilisha katiba kuongeza muda wa Rais madarakani

Harare. Baraza la Mawaziri la Zimbabwe limepitisha rasimu ya mabadiliko ya Katiba ya nchi hiyo, yatakayomwezesha Rais Emmerson Mnangagwa (83) kuendelea kubaki madarakani hata baada ya muda wake kwisha mwaka 2028. Rasimu hiyo inapendekeza kwamba marais watakuwa wanachaguliwa na wabunge na siyo kuchaguliwa moja kwa moja na wananchi, na atatumikia mihula miwili ya miaka saba…

Read More

Baada ya MWANZO Mpya, Je! Umeharakisha Mashindano ya Silaha za Nyuklia? – Masuala ya Ulimwenguni

Picha ya jaribio la nyuklia la Licorne la 1971, ambalo lilifanywa huko Polinesia ya Ufaransa katika Bahari ya Pasifiki. Credit: CTBTO Maoni na John Burroughs (san francisco, Marekani) Alhamisi, Februari 12, 2026 Inter Press Service SAN FRANCISCO, Marekani, Februari 12 (IPS) – Mkataba wa hivi karibuni zaidi wa kuweka vikwazo vya kimkakati vya silaha za…

Read More