Watoto Wawili Wauawa Serengeti, Mtuhumiwa Auwawa na Wananchi
Watoto Wawili Wauawa Serengeti, Mtuhumiwa Auwawa na Wananchi – Global Publishers Home Habari Watoto Wawili Wauawa Serengeti, Mtuhumiwa Auwawa na Wananchi
Watoto Wawili Wauawa Serengeti, Mtuhumiwa Auwawa na Wananchi – Global Publishers Home Habari Watoto Wawili Wauawa Serengeti, Mtuhumiwa Auwawa na Wananchi
Picha ya jaribio la nyuklia la Licorne la 1971, ambalo lilifanywa huko Polinesia ya Ufaransa katika Bahari ya Pasifiki. Credit: CTBTO Maoni na John Burroughs (san francisco, Marekani) Alhamisi, Februari 12, 2026 Inter Press Service SAN FRANCISCO, Marekani, Februari 12 (IPS) – Mkataba wa hivi karibuni zaidi wa kuweka vikwazo vya kimkakati vya silaha za…
Imeelezwa kuwa tafiti ni nguzo kuu katika kuimarisha maandalizi na uwezo wa kukabiliana na magonjwa ya milipuko nchini pamoja na kutoa ushahidi muhimu unaoongoza maamuzi ya sera, miongozo na mikakati ya kukabiliana na magonjwa ya mlipuko, kusaidia ugunduzi wa mapema, ufuatiliaji wa magonjwa na uendelezaji wa vipimo, chanjo na tiba. Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Februari, 2026, kuelekea Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU). Rais…
Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya usimamizi wa maji na safi na taka mkoa wa Dar es salaam (Dawasa) imesema kuwa inaendelea na tafiti katika wilaya zote za mkoa wa Dar es salaam ili kujua uhitaji wa maji safi na salama kwa wakazi wake. Mpango huo wa uchimbaji visima mkoa wa Dar es salaam ni kutokana…
JE, sloti zinaweza kuwa zaidi ya kuzungusha alama na kusubiri bahati? Meridianbet inaonekana kujibu swali hilo kwa vitendo baada ya kuleta Kalamba Games, wabunifu wanaokuja na mtazamo tofauti kabisa. Ujio huu ni mabadiliko ya muonekano, na mtindo wa michezo unaomkaribisha mchezaji kwenye ulimwengu mpya wa burudani ya kidijitali. Kalamba Games wamejijengea jina kwa kutengeneza sloti…
Dar es Salaam/Dodoma. Wadau wa sekta za usafirishaji na uzalishaji wametoa wito wa kuboreshwa kwa mifumo ya usajili wa bajaji na pikipiki zinazotumia umeme (EVs), wakitaka Serikali kutumia uzoefu wa nchi zilizoendelea kiteknolojia ili kuiongoza nchi katika kipindi cha mpito kuelekea matumizi ya nishati safi. Wadau hao walitaja mataifa yaliyopiga hatua katika matumizi ya vyombo…
Kaimu Mkurugenzi Mkuu FCC Bi. Khadija Ngasongwa, akitoa maelezo kuhusu wajibu wa FCC kwenye kusimamia ushindani na kumlinda mlaji wakati wa kikao kazi na wazalishaji wa saruji nchini kilichofanyika katika ofisi za FCC Februari 11, 2026 Jijini Dar es Salaam. …………. TUME ya Ushindani (FCC) imekutana na wadau wa uzalishaji wa ndani wa saruji…
Diamond Platnumz Aachia Video Mpya ya “Natulizana”! – Global Publishers Home Habari Diamond Platnumz Aachia Video Mpya ya “Natulizana”!
Dar es Salaam. Umewahi kupita katika barabara ya njia nane kutoka Kibaha hadi Kimara, ukaona magari yakitiririka kwa mpangilio na kasi na kulifanya Jiji la Dar es Salaam likionekana la kisasa na lenye pumzi mpya?. Pengine ulifurahia tu safari yako bila kujiuliza, ni nani aliyekaa kimya ofisini akatafakari, akachora mstari wa kwanza wa ramani iliyozaa…