Msanifu barabara ya njia nane, BRT afariki dunia ajalini, atakavyokumbukwa
Dar es Salaam. Umewahi kupita katika barabara ya njia nane kutoka Kibaha hadi Kimara, ukaona magari yakitiririka kwa mpangilio na kasi na kulifanya Jiji la Dar es Salaam likionekana la kisasa na lenye pumzi mpya?. Pengine ulifurahia tu safari yako bila kujiuliza, ni nani aliyekaa kimya ofisini akatafakari, akachora mstari wa kwanza wa ramani iliyozaa…