Askofu Gwandu: Mitandao ya kijamii imejaa chuki na mipasho

Manyara. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mbulu, John Gwandu, amesema mitandao ya kijamii imekuwa uwanja wa matusi, fujo na mipasho, hali inayochochea chuki na kuharibu misingi ya amani na mshikamano wa Taifa. Askofu Gwandu amesema licha ya Watanzania kupenda amani, wanachokihitaji zaidi kutoka kwa viongozi wao ni kutendewa haki,…

Read More

Aliyejeruhiwa ajalini afariki dunia kwa ajali nyingine

Kilwa. Majeruhi aliyepata ajali katika basi la Maning Nice iliyotokea jana saa 12 asubuhi, Ahmad Ally, amefariki dunia baada ya kupata ajali katika eneo la Mavuji, wilayani Kilwa, mkoani Lindi, wakati akipelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu zaidi. Ally, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40–50, amefariki dunia katika ajali iliyotokea saa 7 usiku…

Read More

Kinachokwamisha wagonjwa wa kifafa kupata matibabu

Dar es Salaam. Wakati Tanzania ikiungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Kifafa kesho, Februari 9, 2026, imani potofu juu ya ugonjwa huo na unyanyapaa umetajwa kama kikwazo kikuu kwa wagonjwa kutafuta matibabu kwa wataalamu wa afya nchini. Wataalamu wanaeleza kuwa kifafa huanza baada ya athari kwenye ubongo, na mtu hupata mshituko katika eneo hilo…

Read More

Mohamed Badru: Shilla atang’aa Sweden

KOCHA wa zamani wa Azam FC, Mohamed Badru amesema anajivunia kuona vijana aliowafundisha kwenye timu za vijana wakipata nafasi kimataifa baada ya Mohamed Shilla kutambulishwa AIK ya Sweden. Badru aliyemfundisha Shilla alipokuwa Azam FC ya vijana, amesema kiungo mshambuliaji huyo ana nidhamu, akili ya mpira na uwezo wa kucheza zaidi ya nafasi moja, vitu vinavyompa…

Read More