GF Trucks kupunguza utegemezi wa wataalamu kutoka nje

Kibaha. Licha ya sheria za nchi kutolazimisha sekta ya viwanda na usafirishaji kutekeleza mipango ya Uwajibikaji kwa Jamii (CSR), kampuni ya GF Trucks imechukua jukumu hilo kwa hiari kwa kuwekeza katika uhamishaji wa ujuzi na utoaji wa ajira kwa vijana wazawa, hatua inayochangia moja kwa moja maendeleo ya jamii na uchumi wa ndani. Kwa mujibu…

Read More

Conte afichua siri za Yanga

YANGA imejiweka katika hesabu ngumu za kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kutoka Kundi B baada ya juzi usiku kufungwa kwa bao 1-0 na As Far Rabat ya Morocco, lakini kiungo wa zamani wa timu hiyo, Moussa Balla Conte amefichua siri za maisha ya muda mfupi ndani ya klabu hiyo. …

Read More

Haya hapa maagizo ya Rais Samia akizindua Soko Kuu Kariakoo

Dar es Salaam. Huenda Soko la Kariakoo unalolifahamu au kuwahi kulisikia likawa na taswira mpya, baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza utaratibu mpya wa maegesho, njia za kusafirisha mizigo na kufunguliwa kwa barabara zinazoingia na kutoka sokoni humo. Lingine aliloelekeza ni kujengwa kwa maeneo ya watoto kucheza, kuimarishwa ulinzi, viwango vya ubora wa bidhaa…

Read More

Maxime: Mfumo sasa umekubali, yeyote aje tu!

BAADA ya msoto wa muda mrefu bila ushindi, hatimaye juzi Mbeya City ilikata mzizi wa fitina kwa kuikanda TRA United kwa mabao 2-0, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Mecky Maxime akitamba kuwa mfumo sasa umekubali na wapo tayari kuvaana na yoyote. Mbeya City iliyorejea Ligi Kuu msimu huu, haikuwa na mwanzo mzuri chini ya…

Read More

Maeneo saba ya utekelezaji wa bajeti ya elimu Zanzibar

Unguja. Katika juhudi za kuimarisha sekta ya elimu, Serikali imeanisha maeneo saba ya vipaumbele vya utekelezaji wa bajeti ya elimu kwa mwaka 2025/26 ili kutoa elimu bora, huku ikitaja tija iliyoanza kuonekana kufuta rekodi za Zanzibar kushika mkia katika matokeo ya mitihani ya taifa. Maeneo hayo ni pamoja na ujenzi wa vyumba vya madarasa 1,008,…

Read More

Viongozi wa dini watakiwa kuliombea Taifa

Haydom. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora, Regina Ndege amewasihi viongozi wa dini kuendelea kuliombea Taifa na viongozi wa nchi ili waongoze kwa busara, kumcha Mungu na kuwahudumia wananchi kwa haki na uadilifu. Ndege ameueleza hayo leo Jumapili Februari 8, 2026 usharika wa Haydom Dayosisi ya Mbulu mkoani Manyara,…

Read More

Askofu Gwandu: Mitandao ya kijamii imejaa chuki na mipasho

Manyara. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mbulu, John Gwandu, amesema mitandao ya kijamii imekuwa uwanja wa matusi, fujo na mipasho, hali inayochochea chuki na kuharibu misingi ya amani na mshikamano wa Taifa. Askofu Gwandu amesema licha ya Watanzania kupenda amani, wanachokihitaji zaidi kutoka kwa viongozi wao ni kutendewa haki,…

Read More