TRA IMEANZA KUTEKELEZA MAAGIZO YA RAIS SAMIA KARATU
******** Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuchukua hatua ya utekelezaji wa maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa wakati wa kampeni wilayani Karatu mkoa wa Arusha ya kuitaka TRA kuongeza wigo wa utoaji huduma. Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda akiwa ziarani Karatu Februari…