Huko Prisons kimenuka, Otieno anahesabiwa saa tu

‘LOLOTE linaweza kutokea’. Ni kauli ya Mtendaji Mkuu wa Tanzania Prisons, Godfrey Madegwa akielezea hatma ya kocha mkuu wa timu hiyo, Mkenya Zedekiah Otieno kutokana na matokeo yasiyoridhisha iliyonayo maafande hao wa Magereza. Habari za ndani zilizonaswa na Mwanaspoti zimedai Otieno alipewa mechi tatu ikiwa ni kipimo cha mwenendo alionao klabuni, ambapo mechi ya jana…

Read More

Kiini bajaji, pikipiki za umeme kuvunja sheria bila hofu-3

Dar/Dodoma. Uendeshaji wa pikipiki na bajaji za umeme pasipo kusajiliwa katika miji ya Dar es Salaam na Dodoma umechangiwa na utekelezaji duni wa sheria za usafiri na usajili, uchunguzi wa Mwananchi umebaini. Ingawa Tanzania imefanya marekebisho ya sheria ili kutambua rasmi magari ya umeme (EVs), upungufu mkubwa wa utekelezaji umeruhusu maelfu ya pikipiki na bajaji…

Read More

Leo Hii Mkwanja wa Maana Upo Meridianbet

Last updated Feb 11, 2026 Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet kwenye simu yako ni rahisi sana kutengeneza pesa?. Mechi kibao zipo kuhakikisha huondoki patupu hapa suka jamvi lako sasa na uanze kubashiri hapa. COPPA ITALIA pia hatua ya Robo Fainali utapigwa mchezo mmoja kati ya Bologna dhidi ya Lazio ambapo…

Read More

Siku 100 za Rais Samia bila maridhiano, Katiba mpya

Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2025, Rais Samia Suluhu Hassan aliahidi kuunda Tume ya Maridhiano na kuanzisha mchakato wa Katiba mpya ndani ya siku 100 za utawala wake, watanzania wanatamani kusikia kauli yake mpya. Kwa watanzania wa aina yangu, tunaelewa kuwa ndoto hii ya Rais Samia na Chama chake cha Mapinduzi (CCM), tunaelewa vurugu…

Read More

NIKWAMBIE MAMA: Viongozi zingatieni sheria za Tanzania

Kitu kikubwa ambacho wazee wetu hawakukijua, kwenye michezo yetu ya utotoni tuliigiza tabia za baba zetu. Mtoto wa mfanyakazi aliigiza kama mfanyakazi, kadhalika wa mkulima pia aliigiza hivyo. Sipati picha kama mlevi angegundua kuwa mwanaye anamuigiza hadharani kwenye michezo. Bila shaka mtoto huyo angekiona kilichomtoa nyoka miguu, na si ajabu ungelikuwa ndio mwisho wake kucheza….

Read More