Sita wanusurika kifo radi ikiteketeza nyumba Tabora

Tabora. Watu sita wa familia moja, wakazi wa kijiji cha Ulamba, kata ya Kalunde, Manispaa ya Tabora, wamenusurika kifo baada ya kupigwa na radi iliyosababishwa na mvua kubwa iliyoambatana na ngurumo, huku nyumba yao ikiteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo, Februari 7, 2026. Tukio hilo limesababisha watu hao kupata majeraha katika sehemu mbalimbali za…

Read More

Wavuvi Mkokotoni waomba kipaumbele masoko mapya ya samaki

Unguja. Wavuvi na wajasiriamali wa mazao ya baharini wanaofanya shughuli zao katika maeneo ya Fungurefu na Mkokotoni mkoani Kaskazini Unguja, wameiomba Serikali kuwapa kipaumbele pindi miradi ya masoko ya samaki inayojengwa katika maeneo hayo itakapokamilika. Ombi hilo limetolewa leo Februari 7, 2026 mbele ya Naibu Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi, Mboja Ramadhan Mshenga,…

Read More

DC Itunda Ahimiza chakula mashuleni Mbeya

📍 Ammwagia sifa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuboresha miundombinu Na Mwandishi Wetu, Mbeya MABORESHO yanayofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita katika sekta ya elimu yameendelea kuzaa matunda baada ya ufaulu wa wanafunzi kuongezeka kwa kasi nchini.  Akizungumza na wadau wa elimu Jijini hapa, Mkuu wa wilaya ya Mbeya Mhe Solomon Itunda alisema maboresho…

Read More

Nchimbi: Mageti ya Ikulu yafungwe dhidi ya waovu

Dar es Salaam. Makamu wa Rais Dk Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania wa dini zote kutumia nafasi yao ya kiimani kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan, akisisitiza kuwa afya, busara na usalama wake vina uhusiano wa moja kwa moja na utulivu, mshikamano na maendeleo ya Taifa. Mbali na hilo amesema kuna haja pia ya kumuombea Rais apate…

Read More