DKT. MWIGULU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KATIKA MKUTANO WA 43 WA AUDA-NEPAD
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Afrika (AUDA-NEPAD) uliofanyika kwa njia ya Mtandao, Ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni Jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika mkutano huo,Dkt. Mwigulu amesema kuwa Tanzania inaendelea kujidhatiti katika…