Kiungo Stand ana hesabu kali kikosini

BAADA ya kuanza kazi ndani ya kikosi cha Songea United, kiungo mshambuliaji, Shaban Ada amesema hesabu zake ni kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara ili kuimarisha kiwango chake, kuonekana na kucheza Ligi Kuu msimu ujao. Ada amejiunga na Songea United dirisha dogo la usajili lililofungwa Januari 30, 2026 akitokea Stand United ya Shinyanga inayoshiriki…

Read More

Inonga amfuata Ateba Iraq | Mwanaspoti

ALIYEKUWA beki wa kati wa Simba, Mkongomani Henock Inonga Baka, amejiunga na Al-Zawraa SC inayoshiriki Ligi Kuu ya Iraq, akiungana na mshambuliaji nyota wa zamani wa kikosi hicho raia wa Cameroon, Leonel Ateba, anayecheza Al Shorta. Beki huyo aliyewahi kuichezea Simba kuanzia Agosti 15, 2021 hadi Juni 25, 2024, akitokea DC Motema Pembe ya DR…

Read More

Kilichokwamisha dili la Shomary Kazakhstan

DILI la aliyekuwa beki wa kushoto wa KMC, Rahim Shomary kujiunga na FK Zhenys inayoshiriki Ligi Kuu ya Kazakhstan, limeshindwa kukamilika, baada ya nyota huyo kuamua kurejea nchini na kutua Singida Black Stars. Nyota huyo aliyejiunga na Ghazl El Mahalla ya Misri, Julai 14, 2025 na kusaini mkataba wa miaka mitatu baada ya kuachana na…

Read More

Freshi wanetu…Ndo hivyo haikuwa rahisi

USIKU wa jana, zimepigwa mechi tatu za CAF zilizohusisha timu za Tanzania ambapo Yanga ilikabiliana na AS FAR Rabat, huku Simba ikicheza dhidi ya Petro Atletico, hizi zilikuwa katika Ligi ya Mabingwa Afrika zikicheza ugenini, wakati Azam ikaikaribisha AS Maniema kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. …

Read More

Padri Kanisa Katoliki adaiwa kutoweka, asakwa kwa miezi sita

Geita. Imepita miezi sita tangu kutoweka kwa Padri Peter Rwezahura wa Shirika la Wamisionari wa Clara, aliyekuwa akihudumu katika Kituo cha Makoko, Jimbo Katoliki la Musoma. Kanisa hilo limewaomba Watanzania na watu wa ukanda wa Afrika Mashariki kutoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwake. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Februari 5, 2026 na Mkuu wa Shirika la…

Read More