Watatu wa familia moja washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

Mbeya. Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu watatu wa familia moja, Solomon Mwambyale na watoto wake wawili Stephano Mwaisango na Emanuel Mwaisango kwa tuhuma za mauaji ya Jenti Sengela (87) ambaye alikuwa shemeji wa mtuhumiwa Solomon Mwambyale. Tukio hilo linadaiwa kutokea Februari 7, 2026 katika Kitongoji cha Busoka Kijiji cha Lusungo Kata ya Makwale,…

Read More

WAZIRI MKUU KUZINDUA MIRADI MIKUBWA YA UTALII

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) anatarajiwa kuzindua Miradi mikubwa ya kuendeleza Utalii Kusini siku ya jumatano tarehe 11 Februari, 2026. Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbasi leo Februari 9, 2026 amekagua maandalizi ya uzinduzi wa miradi ya kuendeleza utalii kusini. Miradi hiyo inayotarajiwa…

Read More

STANDARD CHARTERED YAANDAA MAJADILIANO YA FARAGHA KUHUSU MUSTAKABALI WA BIASHARA KATIKA MAZINGIRA YA KIMATAIFA YANAYOBADILIKA

Standard Chartered leo iliandaa majadiliano ya ngazi ya juu kwa wateja wake katika Hoteli ya Hyatt Regency, yakileta pamoja Wakurugenzi Wakuu (CEOs), Wakurugenzi wa Fedha (CFOs), na viongozi wa kikanda kutoka kampuni za kimataifa kwa majadiliano ya faragha kuhusu mustakabali wa biashara, uwekezaji, na ukuaji katika kipindi cha mabadiliko endelevu ya uchumi wa dunia. Majadiliano…

Read More

Wafanyabiashara Soko la Kumbilamoto Vingunguti wagoma

Dar es Salaam. Wafanyabiashara katika soko la nyama choma Vingunguti, maarufu Soko la Kumbilamoto wameanza mgomo wa biashara wakilalamikia kodi kubwa na tozo nyingi wanazodaiwa kulipa kila mwezi. Leo Februari 10, 2026 wafanyabiashara wa soko hilo wamegoma kufungua biashara wakisema hali hiyo imekuwa kero na unyanyasaji unaowafanya washindwe kuendesha maisha yao. Soko hilo lilizinduliwa rasmi…

Read More