ENZI MPYA YA MAAJABU YA NGORONGORO
Kassim Nyaki, Ndutu Ngorongoro. Waswahili husema aungurumapo Simba mcheza nani? Tarehe 7 Februari, 2026 Simba ameunguruma ndani ya hifadhi ya Ngorongoro eneo la Ndutu kwa uzinduzi wa Chapa mpya ya Destination Ngorongoro. Kamishna wa Uhifadhi mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) Abdul-Razaq Badru ameongoza Menejimenti ya mamlaka hiyo na wadau mbalimbali wa sekta…